-Mwanamume wa miaka 76 alimpiga risasi mke wake aliye na umri wa miaka 62 kufuatia mzozo wa ngono
-Wanandoa hao ambao walioana hivi majuzi wanasemekana kutofanya mapenzi kwa miezi sita
Mwanamume wa miaka 76 kutoka Lehigh Acres Florida ameshitakiwa kwa kosa la kumpiga risasi na kumwumiza mke wake kwa kumnyima ngono.
Habari Nyingine: Raila amfanyia mama mkongwe kitendo cha KUYEYUSHA moyo (video)
![](https://cdn.statically.io/img/cdn.tuko.co.ke/images/1120/0fgjhs1a0ff60plcm.jpeg)
Pata HAPA habari za TUKO.co.ke punde tu zinapochapishwa!
Donald Royce anasemekana kukasirishwa na uamuzi wa mkewe kumkataza ngono, jambo lililomfanya kumpiga mkewe risasi ya makalio.
Habari Nyingine: Wamkumbuka mtoto alieachwa na wazazi wake kwa kuwa ‘MCHAWI’? Tazama alivyo sasa! (picha)
![](https://cdn.statically.io/img/cdn.tuko.co.ke/images/720/0fgjhs5dc1i4g5afp.jpeg)
“ Nilimpiga risasi na bunduki iko chunmbani mwangu. Hatujalala pamoja kwa muda wa miezi sita na hataki niongee kuhusu jambo hilo,”Roy aliwaambia polisi wanaochunguza tukio hilo.
Mke wa Royce ambaye hakutambulishwa jina anapokea matibabu katika hospitali ya Lee Memorial Hospital.
Habari Nyingine: Mbinu 6 za kushangaza ambazo wanawake wakenya hutumia ili kuwanyima wanaume NGONO
![](https://cdn.statically.io/img/cdn.tuko.co.ke/images/720/0fgjhs2mtqh2795ng.jpeg)
Hebu tazama video ya kisa hicho hapa:
Subscribe to watch new videosRead ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaH1zfJJmpLCZnpa6trnEcG1mmZ2ltqitjKugrJmjnnqut8SwnG9qXaDEonnKrqSnsZmirm66xqilqGWdnrK7tYxvZKmhk52ub7TTpqM%3D