Mwanaye Pasta Pius Muiru afanya mambo ya KUSHANGA hata kumzidi Kanyari (picha)

- Mwanaye Pasta Pius Muiru, Andrew Muiru anasherehekea kuwa na maisha bora - Andrew alijaza picha za mabasi mapya ambayo ameyanunua hivi karibuni Habari Nyingine: Mwanamziki wa kike ashutumiwa kwa 'kumuonyesha' Rais Uhuru CHUPI zake (video)

- Mwanaye Pasta Pius Muiru, Andrew Muiru anasherehekea kuwa na maisha bora

- Andrew alijaza picha za mabasi mapya ambayo ameyanunua hivi karibuni

Habari Nyingine: Mwanamziki wa kike ashutumiwa kwa 'kumuonyesha' Rais Uhuru CHUPI zake (video)

Mnamo mwaka wa 2014, Wakenya walipigwa na butwaa baada ya kusikia kuhusu tabia ya kihuni aliyokuwa anatumia Kanyari ili kuwapunja waumini wake pesa.

Kanyari alikuwa anawataka waumini wake kupanda mbegu ya "310" ili kupokea muujiza.

Pata HAPA habari za TUKO.co.ke punde tu zinapochapishwa!

Habari Nyingine: Gavana "aliyeitwa mjinga na Shetani" na Rais Uhuru azungumza

Lakini ukisahau kuhusu Kanyari, wamkumbuka mhubiri Pius Muiru wa "Kuna Nuru Gizani"?

Sasa mwanae Muiru, Andrew Muiru, aliyekuwa kiongozi wa nyimbo za kuabudu katika kanisa la babake, Maximum Miracle Center, ameangaziwa na vyombo vya habari.

Habari Nyingine: Sonko aahidi kumpa afisa yeyote wa polisi KSh 500,000 KUWAUA jamaa hawa

Alichapisha picha za kuonyesha mabasi yake ya usafiri wa umma yanayohudumu katika barabara ya Nairobi-Mombasa katika ukurasa wake wa kijamii.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaIB5hJFmpLCZnpbGpnnPmqqtmV2ltra%2FjKasoqqlYq6nrc2ymGalkaKvsHnYmmSkraOdrq%2BzwGafmqyRYri2udmim6Jlm5a7uq3RomSpoZOdrm%2B006aj

 Share!