![](https://cdn.statically.io/img/cdn.tuko.co.ke/images/1200x675/0fgjhs5kcbp67qbh9.jpeg)
- Mwanamuziki wa nyimbo za Injili Kevin Bahati hatimaye amezungumza kuhusu tetesi kwamba yeye na mwenzake Willy Paul ni mahasidi
- Akihojiwa na runinga ya K24,Bahati alisema kuwa amekomaa sasa kwani yeye ni mzazi na hana muda wa kuunda chuki kati yake na mtu yeyote
Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili Kevin Bahati alitupila mbali madai kuwa yeye na mwanamuziki mwenzaka Willy Paul ni maadui.
Habari Nyingine: Picha za muuguzi huyu mwenye umbo la malaika zawapa 'mafisi' taabu
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Akihojiwa na mwanahabari wa runinga ya K24,Kalekye Mumo,Bahati alisema kuwa yeye ni mzazi kwa sasa na hana muda wa kupoteza katika kuunda chuki kati yake na mtu yeyote.
" Mimi sahizi ni mzazi,nina watoto wawili ambao napaswa kuwatunza ipasavyo na nimeoa,siwezi nikajilinganisha na watu ambao bado wana utoto mwingi akili mwao," Bahati alisema.
Habari Nyingine: Cristiano Ronaldo kando, Faiq Bolkiah,19, ndiye mchezaji tajiri zaidi wa soka akiwa na utajiri wa $20 bilioni
Bahati na Willy Paul wamekuwa wakitofautiana kwa muda sasa huku kila mmoja wao akitunga wimbo wa kumdhihaki mwingine.
Aidha,Bahati alifutilia mbali madai kuwa hakumlipa mwanamuziki Jemimaha Thiongo baada ya kushirikana naye kutoa wimbo.
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari am Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Tazama habari zaidi kutoka TUKO.co.ke
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia395f5ZmpKKlmWK7qnnMs5izoV2orrSt0qKlmmWdqrGiedaaZKStkp7Aqa3NmmSnmV2srrXBjJqkm5mfYq%2BisM5mrpqmkZ%2B2sLrAZqWiZaeWwbDAzmaZmqCRqbZut9aaZLChnKHGbrzArqNnoKSiuQ%3D%3D