WinkBlog

May 28 Birthdays By Profession

© FamousBirthdays.com - use subject to the practices disclosed in our privacy policy. ncG1vNJzZmivp6x7p63MqKysmpmnwamwwLKqZ5ufonylrdOeZqaZqWeFb7TTpqM%3D

Milani Colour Statement Lipstick- Black Cherry

Milani cosmetics have amazing make-up products at an incredibly affordable price. Their range of Colour Statement Lipsticks are intense and highly pigmented. The first Milani product that made me come to love the brand was the Milani Power Lip in Raspberry Tart (that was a good one!) if you missed the details on that, check here. Milani Black Cherry is presented in a dominant gold-ish tube, a first look at the lipstick it contains reveals a nearly dark lush colour.

Muigizaji wa Afro Cinema - RITA DOMINIC - asema kwa nini hajaolewa licha ya kuwa miaka 41

- Ana miaka 40, lakini Rita Dominic bado yumo peke yake na hana mtoto - Hivi majuzi alikuwa na mahojiano katika jarida - Mwigizaji huyo ameigiza kwa miaka 18 sasa Baada ya kufikisha miaka 40 na mwanamke hana mpenzi, huenda wengi wakafikiria ni mwisho wa dunia lakini kwa mwigizaji wa Nollywood Rita Dominic, anaamini kuwa Mungu ndiye anayeendesha yote. "Ninaamini Mungu ndiye anayesimamia maisha yangu na ataniletea mwanamume ndiye maishani mwangu kwa wakati wake,” alisema mwigizaji huyo wakati wa mahojiano na jarida la fasheni na maisha la Schick.

Mwanaume jasiri awaokoa watu 30 baada ya shambulizi la kijambazi licha ya kupigwa risasi

- Jonathan Smith aliwasaidia watu 30 katika makabiliano ya risasi katika mji wa Las Vegas - Alisimama tu baada ya kupigwa risasi mbegani Jamaa mmoja, baba wa watoto watatu amelimbikiziwa sifa kwa ujasiri wake wa kuwaokoa watu 30 wakati wa shambulizi mbaya zaidi mjini Las Vegas siku ya Jumatatu, Oktoba 2. Habari Nyingine: Mwanamke wa miaka 75 hajala chakula kamili kwa miaka 60! Jonathan Smith alikuwa amesafiri hadi Las Vegas kusherehekea siku ya kuzaliwa ya nduguye wakati wa shambulizi hilo.