WinkBlog

Msichana Busia abakwa na polisi baada ya mhudumu wa bodaboda kujaribu kumbaka

-Msichana huyo, 19, alibakwa na afisa huyo wa polisi aliyekuwa zamu ya usiku katika kituo cha polisi wa kushika doria cha Busia -Kulingana na msichana huyo, afisa huyo alimtishia kumuumiza ikiwa hangekubali matakwa yake -Alipelekwa kwenye kituo hicho cha polisi na wazazi wake baada ya kubakwa na mhudumu mmoja wa bodaboda -Alizuiliwa ili kuwapa wazazi wake nafasi ya kuleta cheti chake cha kuzaliwa kwenye kesi ya ubakaji Alhamisi, Agosti 23 ilikuwa usiku wa bahati mbaya kwa msichana mwenye umri wa miaka 19 kutoka Busia aliyebakwa na afisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha kushika doria cha Kotur.

Mwanamuziki Daddy Owen afichua kinachowasumbua Bahati na Willy Paul

- Mwanamuziki maarufu wa nyimbo za Injili, Daddy Owen ameelezea kwa kina kilichosababisha wanamuziki Willy Paul na Bahati kuwachwa nje kwenye uteuzi wa tamasha ya Groove Awards - Wawili hao wamekuwa wakikashifiwa kwa kuimba nyimbo zisizoambatana na matakwa ya nyimbo za injili Wakenya wengi hawakushangaa baada ya majina ya Willy Paul na Bahati kukosa kwenya orodha ya waimbaji bora walioteuliwa ili kuzawadiwa na tamasha maalum la Groove Awards. Habari Nyingine: Mtangazaji wa TV JANET MBUGUA awashangaza wengi na picha hii akiwa UCHI

Picha zamchongea Bahati vibaya sana, mashabiki wampasha bila huruma

- Msanii wa Injili Bahati kwa mara nyingine amejisababishia fedheha baada ya kuchapisha picha akiwa na mke wake Diana Marua Huenda watumiaji wa mtandao kila mara huwa tayari kuponza kitu kizuri na mfano bora ni penzi la Bahati na mke wake Diana Marua. Habari Nyingine : Picha 12 za Monica Kimani aliyeuawa kinyama eneo la Kilimani, Nairobi Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka Habari Nyingine : Watoto wa China sasa wanaimba Kiswahili kuliko Wakenya, tazama video

Secret details you never knew about Mombasa Governor Hassan Joho's wife

- Madina Joho is the beautiful wife of Mombasa Governor Hassan Joho - The couple is blessed with four children who are hardly seen in public - Many Kenyans have never seen Hassan Joho in public with his beloved wife - The two are married under Islamic law and she is content with keeping a low profile unlike her husband - Did you know Joho's wife is of Italian descent?, yes.

The Miz Teases Snoop Dogg Appearance at WrestleMania 39

TALENTRECAP.COM Entertainment Celebrity Photo by Todd Williamson/E! Entertainment/NBC via Getty Images, Photo by Arturo Holmes/FilmMagic Reading Time: 2 minutes Rap icon Snoop Dogg has been a vocal fan of wrestling for years, and he may be making a return to the WWE stage at WrestleMania 39. His love for the WWE world was cemented last year when he received a custom gold WWE Championship belt. The belt was admittedly lost, sparking a possible confrontation with WWE Superstar The Miz.