WinkBlog

Lari: Wanafunzi 4 Taabani Baada ya Kuingia Katika Shule Jirani ya Wasichana

Wanafunzi wanne kutoka Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Gatamaiyu walinaswa wakiingia katika shule ya upili ya Wasichana ya Gachoire na kutandikwa na umma Inasemekana wavulana hao walianza kutoroka walipokabiliwa na mlinzi wa shule hiyo ambaye alilazimika kupiga mayowe Wanne hao waliponea kifo baada ya kunasuliwa mikoni mwa wenyeji hao na maafisa wa polisiWanafunzi wanne wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Gatamaiyu wanauguza majeraha baada ya majirani wenye hasira kuwalisha kichapo kwa kujairbu kuingia katika shule ya upili ya Wasichana ya Gachoire.

Light, Medium, Dark Roast Coffee: What's the Difference Between Coffee Roasts?

Love coffee or want to start drinking coffee more regularly? Maybe you’ve tried a drink at a cafe that you really liked, but don’t quite understand what type of coffee it was or why you enjoyed it so much. Luckily, you don’t have to be a barista to know some basic details about coffee. Coffee has been around as far back as the 15th century and there are many different types and flavors of coffee roast.

Raila Odinga atakuwa rais kabla ya William Ruto Mutahi Ngunyi

-Ruto anatarajiwa kupeperusha bendera ya chama cha Jubilee kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2022 baada ya Rais Kenyatta kustaafu -Ngunyi alishikilia kuwa Ruto aliangazia kwa dhati azma yake ya kuwania kiti cha urais mwaka wa 2022 kwa kiwango cha kuwapoteza wanaompenda -Mwanasayansi huyo wa siasa alisema kuwa Ruto anafanya kampenzi kuwania kiti cha urais ambacho hakitakuwepo kwa kuwa katiba itafanyiwa marekebisho -Alisema kuwa licha ya kuwaunga mkono viongozi wakuu wa Jubilee, Raila alikuwa mwerevu kwa kukwepa siasa za 2022 na kuangazia kura ya maamuzi

STUDENT CITY: Pardubice - Live & Study

Making a decision where to study is undoubtedly a very important step for your future life and career. Studying abroad is a great opportunity to experience great things, gain useful skills, and maybe learn a foreign language on the way. And what is the best choice? Studying in the Czech Republic! Investment Studying abroad is […] read more The Czech Republic is a great place to study. Let’s have a look at 15 good reasons why you should choose Czechia above other countries for your studies.